Na Juma Abdala-Zenji Fm

UNGUJA:

Baadhi ya nyumba katika maeneo ya manispaa ya mji wa Zanzibar zimeanza kuathirika kwa kuingia maji kutokana na mvua za masika zinazoendelea kunyesha.

Maeneo yalioathirika na mvua hizo ni pamoja na Jangombe, Kwahani, Uwanja wa Farasa na Sebleni ambapo wananchi  wamekosa makaazi.

Akizungumza na Zenji Fm radio waziri wan chi afisi ya waziri kiongozi Hamza Hassan Juma amesema kitengo cha maafa Zanzibar kitaendelea kufanya tathmini juu ya maafa hayo baada ya mvua za masika kumalizika.

Hata hivyo amewataka wananchi kutojnga katika maeneo yanayotuwama majisema serikali yanaendelea kuathirika kmeanza kuathirika kuto

Advertisements