Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeonesha dalili ya kushinda uchaguzi mkuu ujao kufuatia kuongoza katika kura ya maoni iliyotangazwa na taasisi ya Citzen Information Beuro.

Matokeo hayo ya utafiti wa kura ya maoni iliyofanywa na taasisi hiyo yanaonesha mgombea wa CHADEMA Dr. Wilbord Slaa akiongoza akifuatiwa na mgombea wa CCM Dr. Jakaya Kikwete.

Utafiti huo ambao ni watatu kutangazwa baada ya utafiti uliofanywa na REDET na SENOVAT kuhusu mgombea wa urais anaekubalika ambapo rais Kikwete alikuwa akiongoza.

Dr.  Vicent Biaro kutoka chuo kikuu cha Dar es Slaam akitangaza matokeo ya tafifi huo amesema 

Hata hivyo naibu mkurugenzi wa propaganda wa CCM Tambwe Hiza amepinga utafiti huo kwa vile taasisi hiyo haitambuliki….

 

Advertisements