Dr. Wilboard Slaa

Mgombea urais wa jamhuri ya muungano Tanzania kupitia CHADEMA Dr. Wilboard Slaa ameiomba tume ya uchaguzi kusitisha utangazaji wa matokeo ili kura zote zihesabiwe upya.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam Dr. Slaa amedai vyombo vya usalama vinatumika kuhujumu matokeo ya urais……

Hata hivyo tume ya uchaguzi ya taifa imesema bado haijapokea malalamiko hayo kutoka kwa mgombea huyo.

Wakati huo huo matokezo zaidi ya urais wa Tanzania yanaendelea kutangazwa huku mgombea wa CCM rais Jakaya Kikwete akiongoza baada ya tume ya aifa ya uchaguzi kutangaza matokeo ya majimbo mia moja na 16.

Advertisements