Shamsi Vuai Nahodha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewateuwa wabunge watatu kati ya nafasi 10 alizonazo kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania .

Walioteuliwa ni Shamsi Vuai Nahodha, Profisa Makame Mnyaa Mrau na Zakia Hamdan Meghji.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema tayari Rais Kikwete ameshawasilisha majina ya wateule hao kwa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano kwa hatua zaidi .

Advertisements