Profis Benno Mbulu

Benki kuu ya Tanzania BOT imetoa toleo jipya la noti zilizoelezwa kuwa na ubora zaidi ukilinganishwa na zile za sasa huku zikiwa na alama maalum kwa watu wasioona.

Noti hizo mpya za shilingi 500, 1000, 2000, 5000 na 10,000 zimeonyeshwa rasmi na gavana wa benki kuu profisa Beno Ndulu mbele ya waandishi wa habari.

Kwa mujibu wa porifia Ndulu noti hizo mpya zitaingizwa katika mzunguuko tarehe mosi Januari mwaka ujao huku zile za zamani zikiendelea kutumika hadi zikapomalizika katika mzunguuko.

Profia Ndulu pia amesema gharama za kuchapisha noti hizo mpya imeshuka ikilinganishwa na gharma za awali.

Advertisements