Mama Salma Kikwete

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 14 wamejeruhiwa katika msafara wa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Kibaha nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.

Msafara huo uliokuwa ukitokea Dar es salaam ukiwa unaelekea Bagamoyo Mkoani Pwani .

Majeruhi katika ajali hiyo wamekuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali teule ya Mkoani humo

Advertisements