RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein anaondoka nchini leo kuelekea Uingereza kwa safari ya muda mfupi.
 
Katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar, Dk. Shein aliagwa na viongozi mbali mbali akiwemo Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Balozi Seif Ali Idd.
Advertisements