ZAIDI YA ASILIMIA 80 YA WATOTO WAMEPATIWA CHANJO YA SURUA, VITAMIN `A`, DAWA ZA MINYOO NA UPIMAJI WA HALI YA LISHE ULIOFANYIKA MWEZI NIVEMBA MWAKA JANA KISIWANIPEMBA.

HAYO YAMEMELEZWA NA WAJUMBE WA KAMATI HIYO WAKATI WA KIKAOA CHA KUFANYA TATHMINI YA RIPOTI YA CHANJO HIYO KITAIFA KWA LENGO LA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA MARADHI HAYO.

WAMESEMA  MAFANIKIO HAYO YAMEPATIKANA KUTOKANA NA WANANCHI KUITIKIA WITO WA KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA VITUO VYA CHANJO

KAMATI HIYO IMEWAPONGEZA WANANCHI  HASA WALE WALIOVUKA MALENGO  NA KUTOA  WITO KWA WANANCHI KATIKA VITUO VYA BOGOA, MAKOMBENI, KIWANI NA MTANGANI KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA CHANJO ZIJAZO KWA VILE MATOKEO YAO HAYAKUWEZA MAZURI ZAIDI.

Advertisements