Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHD SHEIN AMEFANYA UTEUZI WA WENYEKEITI WA BODI MBALI MBALI IKIWEMO BODI YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR(ZBC)

KWA MUJIBU WA TAARIFA ILIYOTOLEWA NA KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI NDUGU ABDULHAMID YAHYA MZEE DK SHEIN AMEMTEUA BIBI TATU ALI ABDALLA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR(ZBC)

WENYEVITI WENGINE NI MWENYEKEITI WA BODI YA USHAURI YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI DKT YUSUF NUHU PANDU NA BWANA KASSIM MAALIM SUSLEIMAN KUWA MWENEYEKITI WA BODI YA SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA(ZSTC).

UTEUZI HUO WA MWENYEVITI WA BODI UMEANZIA TAREHE 16 JANUARI MWAKA HUU

Advertisements