Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kidatu cha sita uliofanyika mwezi Februari mwaka huu ambapo kiwango cha kufaulu kimeongezeka kwa asilimia 0.34 kutoka asilimia 87.23 mwaka jana hadi asilimia 87.58 mwaka huu.

        Katibu mtendaji wa baraza la mitihani Dr. Joice Ndalichako amewambia waandishi wa habari mjini Dar es Salaam, wanafunzi waliofaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu ni asilimia 79.48 huku asilimia 8.0 wakiwa wamefaulu kwa daraja la nne.

        Dr. Ndalichako amesema utaratibu uliotumika kundaa makundi ya kufaulu kwa wanafunzi ha

        Zaidi ya wanafunzi elfu 53 walifanya mtihani huo na asilimia 87.58 wamefaulu katika viwango vya daraja la kwanza hadi la nne

Advertisements