Sheikh Mkuu wa Tanzania, Issa shaaban Simba

Baraza kuu la waislamu mchini BAKWATA limetoa tamko la kuwataka waumini wa dini hiyo kujitokeza na kushiriki katika kazi za hesabu ya watu na makaazi itakayofanyika August 26 mwaka huu nchini kote.

        Mufti wa Tanzania sheikh Shaban Simba amewambia wandishi wa habari mjini Dar es Salaam kuwa sensa ya watu na makaazi ina lenga kuandaa mipango ya maendeleo.

Hivyo sheikh Simba amesema ni vyema kwa waislamu kushiriki katika kazi hizo

Advertisements