Dr. William Mgimwa

Dr. William Mgimwa

Taarifa tulizozipata hivi punde zinasema waziri wa Fedha,Dkt. William Mgimwa amefariki Dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika ya kusini.

Dr. Mgimwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya shindikizo la damu kwa muda mrefu.

Advertisements