Waziri wa mawasiliano na miundombinu Zanzibar akitoa taarifa kamili ya kadhia ya boti ya Kilimanjaro II kwa waandishi wa habari

Waziri wa mawasiliano na miundombinu Zanzibar akitoa taarifa kamili ya kadhia ya boti ya Kilimanjaro II kwa waandishi wa habari

Waziri wa Mawasiliano na miundombinu Zanzibar Rashid Seif amesema watu 18waliaga dunia kutokana na watano walipatikana tayari wakiwa wamekufa na 13 ambao hawakuonekana inakamilisha idadi ya watu 18

Waziri ameyaleza hayo leo huko ofisini kwake malindi mjini Zanzibar wakati akizungumza na waandishi wahabari wa vyombo tofauti visiwani Zanzibar.

Pia alisema watu waliopatikana wakiwa hai ni watatu na hivyo hadi kufikia leo hakuna alikutwa tena akiwa hai.

Aliwaomba wale wote ambao walipotelewa na jamaa zao kuwa na sibira kutokana na msiba huo walioupata na Serikali iko pamoja nao.

Pia katika kikao hicho waziri alitangaza kuunda Bodi ambao itachunguza tukio hilo ili ikibainika kunakosa la uzembe basi hatua za kisheria zifuate

Advertisements