Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Msaidizi wa masuala ya Biashara kutoka Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi yenye Makao Makuu yake katika Mji wa Dalien Nchini China { CDIG } ambayo tayari imeshafungua Tawi lake Dar es salaam Tanzania Bwana Lin Heng. Kati kati yao ni Mwakilishi wa Kampuni ya Billion Resources Mzaliwa kutoka Nchini  Nigeria Bwana Segun Olonade.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Msaidizi wa masuala ya Biashara kutoka Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi yenye Makao Makuu yake katika Mji wa Dalien Nchini China { CDIG } ambayo tayari imeshafungua Tawi lake Dar es salaam Tanzania Bwana Lin Heng.
Kati kati yao ni Mwakilishi wa Kampuni ya Billion Resources Mzaliwa kutoka Nchini Nigeria Bwana Segun Olonade.

Advertisements