Hivi ndivyo eneo la maduka ya Mayfair Plaza, Mikocheni lilivyoonekana kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha jijini Dar es Salaam

Hivi ndivyo eneo la maduka ya Mayfair Plaza, Mikocheni lilivyoonekana kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha jijini Dar es Salaam

Watu kumi wamefariki dunia kufuatia mafuriko yaliotokea mjini Dar es Salaam kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha.

        Mkuu wa mkoa wa mjini Dar es Salaam Said Mecky Sadiq na kamanda wa mkoa wa Dar es Salaam Suleiman Kova amesema idadi hiyo inaweza kuongezeka.

        Wamesema mvua hizo pia zimeharibu mindombinu ya barabara yakiwemo madaraja

Advertisements