Archive for July, 2014

Sala Ya Eid ul Fitr katika uwanja wa RaceCourse Northampton UK

 Waislamu na wakaazi wa mji wa Northampton, Uingereza walijumuika kwa pamoja katika viwanja vya Racecourse Northampton katika kuhuisha Sunna ya Mtume wetu Swalla Allaahu 'Alayhi Wasaalam kwa kuisali Sala ya Eid katika kiwanja badala ya kuisali Msikitini.   Hii ni mara ya pili kwa Sala hii kusaliwa kwenye uwanja na waislamu wakaazi wa Northampton bila ya kujali wapi wanatoka walijumuika pamoja ambapo sala ya eid ilisaliwa saa 3.15 za Asubuhi

Waislamu na wakaazi wa mji wa Northampton, Uingereza walijumuika kwa pamoja katika viwanja vya Racecourse Northampton katika kuhuisha Sunna ya Mtume wetu Swalla Allaahu ‘Alayhi Wasaalam kwa kuisali Sala ya Eid katika kiwanja badala ya kuisali Msikitini.
Hii ni mara ya pili kwa Sala hii kusaliwa kwenye uwanja na waislamu wakaazi wa Northampton bila ya kujali wapi wanatoka walijumuika pamoja ambapo sala ya eid ilisaliwa saa 3.15 za Asubuhi

Advertisements

Sheikh Mziwanda  Ng'wali  Ahmed (aliyesimama) akitoa Khutba baada ya Swala ya  Eid el Fitri mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa na Wailslamu waliojumuika kwa pamoja katika viwanja  vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi

Sheikh Mziwanda Ng’wali Ahmed (aliyesimama) akitoa Khutba baada ya Swala ya Eid el Fitri mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa na Wailslamu waliojumuika kwa pamoja katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi

IDD MUBARAK-ZENJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Wananchi mbali mbali wakike na wakiume wakiwa katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Zanzibar wakati sherehe za Baraza la EId el Fitri lililohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Baadhi ya Wananchi na Waislamu wasikiliza hotuba iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika kusherehekea Sikukuu yaEid el Fitri, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Shamrashamra za Eidul Fitr Commonwealth Barza Michenzani

SSSS

TUONDEO TOFAUTI ZETU-2015

id5