Baadhi ya viongozi wa Serikali wakijiandaa kwa ajili ya kupata futari nyumbani kwa Maalim Seif, Mbweni Zanzibar

RAYA HAMAD-Assl/alykm picha mnayoiyona mtoto amelala na mwengine amekaa ndani ya chumba chao aliyelala hakulala kwa raha bali ni njaa hadi tunafika ktk kijiji hiki cha Mahonda miti ulaya muda wa saa 10 jioni katika Mwezi huu Mtukufu familia hii haijajua watafutari nini , tujitahidini sadaka zetu zifike kwa walengwa

Advertisements