Archive for September, 2014

PRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with  Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited  CNN Studios at the  Time Warner Cente in New York.   CNN is an American basic cable and satellite television channel that is owned by the Turner Broadcasting System division of Time Warner.  The 24-hour cable news channel was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner.  Upon its launch, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States. While the news channel has numerous affiliates, CNN primarily broadcasts from its headquarters at the CNN Center in Atlanta, theTime Warner Center in New York City, and studios in Washington, D.C. and Los Angeles. CNN is sometimes referred to as CNN/U.S. to distinguish the American channel from its international sister network, CNN International

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) ‘s Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York.
CNN is an American basic cable and satellite television channel that is owned by the Turner Broadcasting System division of Time Warner.
The 24-hour cable news channel was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner. Upon its launch, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.
While the news channel has numerous affiliates, CNN primarily broadcasts from its headquarters at the CNN Center in Atlanta, theTime Warner Center in New York City, and studios in Washington, D.C. and Los Angeles. CNN is sometimes referred to as CNN/U.S. to distinguish the American channel from its international sister network, CNN International

MAJAMBAZI WAJERUHI NA KUIBA MILIONI 34 DARAJANI Z’BAR

majambaziWATU wawili akiwamo askari mmoja wamenusurika kifo baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, waliofanikiwa kupora mfuko wa fedha unaosadikiwa kuwa na zaidi ya shilingi milioni 30.

Tukio hilo, lilitokea jana mchana majira ya 8:30 katika Mtaaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi, ambapo majambazi hao walimvamia mmoja wa wafanya biashara wa Mchele hapa nchini aliyetambulika kwa jina la Salum Issa Suleiman (50), Mkaazi wa Baghani Mjini Unguja ,, ambaye walimpora mfuko wake wa fedha hizo wakati akiwa njiani kuzipeleka benki.
Mfanyabiashara wakati akiwa njiani alijikuta akizingirwa na mojaya gari ndogo na kuanzakushambuliwa kwa risasi ambazo zilimjeruhi sehemu zake za miguuni na ghafla kuanguka na ndipo majambazi hao walipowezakufanikiwa kumpora fedha hizo.
Wakati tukio hilo likitokea mmoja wa askari  polisi wa Kituo cha Malindi Sajenti Hija Hassan Hija, alijaribu kupambana namabambazi hao, lakini alishindwa kufanikiwa baada na yeye kujeruhiwa sehemu ya mkononi na mguuni kutokana kushambuliwa kwa risasi

AJALI YA BARABARANI MKOANI MARA YAUWA WATU 39 NA WENGINE 89 KUJERUHIWA

Watu 39 wamefariki dunia papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya baada ya mabasi mawili ya abiria kugongana uso kwa uso mkoani Mara.

ajali ya gari Ajali hiyo imehusisha Basi la Kampuni ya J4 Express lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari mkoani Mara, baada ya kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Mwanza Coach eneo la Sabasaba, mjini Musoma.

 Kwa mujibu wa chanzo cha habari katika eneo la ajali imetokea baada ya basi la J4 Express likijaribu kuipita gari ndogo aina ya Nissan Terano karibu na eneo lenye daraja jembamba na kugongana basi jingine.

Gari hilo dogo liliingia mtoni na watu wawili kati ya watatu waliokuwepo walipoteza maisha.

Mkuu wa wilaya ya Butiama Katherina Mabula amesema ajali hiyo imetokea leo asubuhi huku mabasi hayo yakienda kwa mwendo wa kasi kwenye mteremko

Miongoni mwa watu waliokufa kwenye ajali hiyo ni madereva wawili wa mabasi hayo.                               

TWO

THEEE

KITUO CHA KIMATAIFA CHABIASHARA ITC KUSHIRIKIANA NA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]

Kituo cha Kimataifa cha Biashara (ITC) kimesema kiko tayari kuisaidia Zanzibar kutekeleza mkakati wake wa kuongeza ajira kwa vijana na kinamama kwa kutumia rasilimali zilizopo Zanzibar.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho chenye makao yake makuu mjini Geneva Uswizi, Bibi Arancha Gonzalez alieleza hayo jana wakati alipokutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein mjini hapa.   

 

Bibi Gonzalez alibainisha kuwa kisiwa kama Zanzibar ambacho hakina rasilimali kubwa ya ardhi mauzo ya mazao yake ya kilimo hayana budi kufanyika yakiwa yameongezwa thamani.

“suala muhimu la kuzingatia ni namna gani nchi za visiwa kama Zanzibar zin

aweza kupata maendeleo kwa kutumia rasilimali zake zenyewe iwe ni kilimo au utalii” alieleza Bibi Gonzalez.

 

Kwa hivyo alimueleza Mheshimiwa Rais kuwa suala kubwa la kuzingatia kwa Zanzibar ni kuongeza thamani ya mazao yake kama viungo kwa kuongeza ubora na kuvipa hadhi ya pekee (branding).

 

Kwa upande mwingine alieleza kuwa azma ya taasisi yake ni kusaidia kuimarisha miradi midogomidogo na ya ngazi ya kati ya vijana na wanawake hivyo kuongeza ajira ili kupunguza tatizo la ajira na umasikini katika jamii.

 

Mkurugenzi Mtendaji huyo alimueleza Mheshimiwa Rais kuwa Taasisi yake itashirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhakikisha kuwa inakuwa na mpango utakaowahusisha vijana wengi katika sekta ya utalii kwa maana ya ajira na kubuni shughuli zinazohusiana na sekta hiyo