Waislam wakiomba dua wathirika wa meli ya Spice Islande————————————————————————–

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi mchango wa Shilingi 1,000,000/- kwa Katibu  wa CCM Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini Nd. Muslih Maulid Fidia kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi lao la CCM. Kati kati yao aliyevaa suti ni Diwani wa Wadi ya Makoba  Bwana Juma Zahor

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi mchango wa Shilingi 1,000,000/- kwa Katibu wa CCM Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini Nd. Muslih Maulid Fidia kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi lao la CCM.
Kati kati yao aliyevaa suti ni Diwani wa Wadi ya Makoba Bwana Juma Zahor

 

 

 

 

Miaka 20 ya kuhifadhisha Qur-ani Zanzibar

shughuli za uokozi zilivyokuwa kwenye ajali ya meli ya MV Spice Islander

————————————————————————–

…………………………………………………………………..

………………………………………………………………………….

Bustani ya Forodhan Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyeitiwa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipokea Nakala ya Mpango wa Mkakati wa muda mfupi wa ZIRPP kutoka kwa Mlezi wa Taasisi ya ZIRPP Dr Salim Ahmed Salim,katika ukumbi wa Salama Bwawani jana,wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyeitiwa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipokea Nakala ya Mpango wa Mkakati wa muda mfupi wa ZIRPP kutoka kwa Mlezi wa Taasisi ya ZIRPP Dr Salim Ahmed Salim,katika ukumbi wa Salama Bwawani jana,wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitembelea sehemu ya Ghala la kuhifadhia Silaha iliyoathirika kwa milipuko ya Mabomu jana jioni katika kambi ya kutunzia silaha ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania Gongolamboto jijini Dar es salaam leo. wa pili kulia Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Lt General Abrahamani Shimbo

 

Treni ya Bububu iliyokuwa ikirahisisha ufasiri katika mji wa Zanzibar wakati wa utawala wa kisultan

Mashindano ya mitumbwi wakati wa ukoloni

Country Bath House.

Rais Kikwete akiwasili katika uwanja wa uhuru mjini Dar es Salaam kabla ya kuapishwa kuwa rais kwa kipindi cha pili

Wananchi na wafuasi wa vyama vya siasa Zanzibar wakishuhudia kuapishwa kwa Dr. Shein katika uwanja wa Amani mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dr. Amani Abeid Karume akikagua gwaride la heshima kwa mara ya mwisho ya kipindi chake cha kuwepo madarakani   katika uwanja wa Amani mjini Zanzibar

———————————————————————————————–

hali kama hii mazao ya Zanzibar kweli yanaweza kupata soko katika nchi za ualaya?

Mazingira kama haya mazao ya Zanzibar yanaweza kupata soko katika nchi za Ualaya?

———————————————————————————————-

—————————————————————————————

————————————————————————————————–

———————————————————————————–

———————————————————————————-

———————————————————————————–

———————————————————————–

Wafuasi wa CUF na CCM wakisherehekea ushindi wa Dr. Shein

Advertisements